Polisi washika doria nyumbani kwa rais mstaafu Ichaweri na katika shamba la Northlands

  • | K24 Video
    284 views

    Usalama umeimarishwa nyumbani kwa rais mstaafu Uhuru Kenyatta eneo la Gatundu kaunti ya Kiambu na katika shamba la Northlands linalomilikiwa na familia yake huko ruiru. Haya yanajiri siku chache tu ,baada ya wadau kuzua wasiwasi kuhusu usalama wa familia ya Kenyatta na mali wanayomiliki baada ya uvamizi wa Borthlands.