Polisi wasubiria kulipwa malimbikizi ya makato ya mshahara

  • | K24 Video
    95 views

    Hatua ya tume ya taifa ya huduma za polisi kuamuru kurejeshwa kwa mishahara ya polisi walio na shahada za chuo kikuu imepokelewa vyema na baadhi ya maafisa hao ambao wamefurahishwa na uamuzi wa mahakama. Wakizungumza hii leo na mwanahabari mwenza majibu kitsao, maafisa hao ambao hawakutaka kujulikana wameelezea kuwa haijakuwa rahisi katika kupigania haki yao kwani baadhi yao walipata msongo wa mawazo na hata kujitoa uhai.