Polisi watakiwa kuwakamata wanaounda filamu za ngono Garissa

  • | Citizen TV
    127 views

    Kamishina wa kaunti ya Garissa Mohammed Ramadhan ametoa onyo kali kwa wale wanaohusika kurekodi na kusambaza video za ngono katika kaunti hiyo