Polisi watatu wachunguzwa kwa madai ya kula hongo

  • | Citizen TV
    9,725 views

    Vurugu zilizuka kwenye barabara ya mai mahiu katika eneo la Naivasha, makachero wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC walipowakamata maafisa wa polisi wa trafiki waliohusika katika kukusanya rushwa kutoka kwa wahudumu wa matatu. Maafisa watatu walikamatwa katika eneo hilo huku maafisa wawili wakifyatua risasi katika jaribio la kuwakwepa wapelelezi.