Polisi watawanya waandamanaji Bobasi kaunti ya Kisii

  • | Citizen TV
    5,064 views

    Mamia ya wakazi wa Bobasi kaunti ya Kisii waliandamana dhidi ya mbunge wa Mugirango kusini Sylvanus Osoro wakimtaka kujisalimisha kwa polisi kufuatia zogo lililozuka eneo la Nyakembene Mugirango Kusini. maafisa wa polisi walilazimika kutumia vitoa machozi kutawanya waandamanaji hao waliobeba mabango na jeneza..