Polisi watawanya wakulima wa miwa waliokuwa wakiandamana kuhusu ufunguzi wa kiwanda cha Mumias

  • | Citizen TV
    1,033 views

    Polisi walitumia vitoa machozi kuwatawanya wakulima wa miwa waliokuwa wakiandamana huko Mumias kaunti ya Kakamega.