Polisi watilia shaka kutekwa nyara kwa Mbunge George Koimburi

  • | Citizen TV
    9,229 views

    Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja amepuuza kisa cha kutekwa nyara na kisha kupatikana kwa mbunge wa Juja George Koimburi kwenye shamba la kahawa kaunti ya Kiambu. Kanja sasa akitaja tukio hilo kuwa sarakasi za kisiasa akiwaondolea lawama maafisa wa polisi kuwa walihusika.