Polisi Watuhumiwa Kushirikiana na Wahuni Dhidi ya Waandamanaji

  • | K24 Video
    310 views

    Wakati wa maandamano ya leo, polisi walionekana wakishirikiana wazi na wahuni kukabiliana na waandamanaji, baadhi yao wakinaswa wakiwaibia raia. Swali linalozuka ni: Je, vijana hao ni kina nani na wametumwa na nani? Na kwa nini polisi wanaonekana kushindwa kutekeleza wajibu wao hadi kuhitaji msaada kutoka kwa wahuni?