- 6,330 viewsDuration: 1:30Kamanda wa polisi hapa Nairobi, Issa Mohamud, amesema kuwa operesheni ya maafisa wa polisi imefanikiwa kuvunja makundi kadhaa ya wahalifu yaliyokuwa yakihusika na uporaji wa kutumia silaha na wizi wa simu za mkononi katika maeneo mbalimbali ya Nairobi.