Polisi wavunja nyumba ya mwanasiasa Jimi Wanjigi

  • | Citizen TV
    10,013 views

    Mfanyabiashara Jimi Wanjigi amepata afueni baada ya Mahakama Kuu kutoa amri ya kuzuia Polisi kumkata hadi pale hoja alilowasilisha kortini itasikizwa na kuamuliwa. Hii ni baada ya maafisa wa usalama kuvamia na kusaka nyumba yake mtaani muthaiga usiku wa kuamkia leo. viongozi wa Azimio la Umoja Raila Odinga na Martha Karua wameshutumu kitendo hicho walipoitembelea familia ya Wanjigi