Polisi wawili wa akiba wafariki kwenye shambulizi huko Lamu

  • | KBC Video
    50 views

    Maafisa wa usalama katika kaunti ya Lamu wanachunguza shambulizi linaloshukiwa kuwa la kigaidi katika eneo la Taa, eneo bunge la Lamu magharibi jana usiku ambalo lilisababisha vifo vya polisi wawili wa akiba huku mmoja wao akijeruhiwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive