Polisi wazidi kulaumiwa kwa kutumia nguvu kupita kiasi

  • | Citizen TV
    4,233 views

    Rais William Ruto ameendelea kuwatetea maafisa wa polisi wanaotuhumiwa kutumia nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji licha ya malalamiko mengi kuibuka kuhusu mauaji ya waandamanaji.