Polisi wazima maandamano yaliyoanza kwa amani kaunti ya Mombasa

  • | K24 Video
    172 views

    Wanarika wa Gen-Z kaunti ya Mombasa wameendeleza maandamano wakimtaka raisi William Ruto kutimiza matakwa yao huku wakishinikiza kupigwa kalamu kwa mkuu wa mawaziri musalia Mudavadi kwani afisi yake haitambuliki kikatiba. Maandamano hayo yaliyoanza pembe za ndovu Mombasa yalitibuliwa na maafisa wa polisi yalipofika eneo la sabasaba. Hatua hiyo ilisababisha makabiliano kati ya waandamanaji na polisi.