Polisi wazuilia washukiwa wawili wa mauaji Kayole

  • | Citizen TV
    2,785 views

    Maafisa wa polisi mtaani kayole hapa jijini Nairobi wanawazuilia washukiwa wawili wa mauwaji mtaani humo. Washukiwa hao ambao ni mkewe marehemu na anayeaminika kuwa mpenziwe wanadaiwa kushirikiana kumuua richard ondieki kabla ya kuukata kata mwili wake na kisha kuutupa ndani ya bomba la maji taka. Baadhi ya sehemu za mwili wake zilipatikana siku moja baada ya kutoweka kwa ondieki mnamo tarehe 14 mwezi uliopita