Polisi yakanusha kutokea mauaji kisiwani Pemba

  • | BBC Swahili
    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania IGP Simon Sirro amekanusha kutokea mauaji na badala yake amesema jeshi hilo limewakamata vijana 42 kutokana na ghasia zilizoshuhudiwa Pemba hapo jana. #uchaguzitanzania2020 #Tanzania #Pemba