Premier Bank yazindua huduma za kidijitali kurahisisha upatikanaji wa fedha

  • | NTV Video
    6 views

    Benki ya Premier imezindua bidhaa za kidijitali, na ambazo zitawawezesha wateja wake kupata huduma za kifedha wanazohitaji kwa upesi na katika maeneo waliko, pasi na kufika kwenye malango ya benki hiyo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya