President Kenyatta: mimi nilikuwa mstari wa mbele kuchapa hawa watu wa NASA

  • | Citizen TV
    President Uhuru Kenyatta – Nchi ilikuwa karibu kugawanyika nusu…mimi nilikuwa mstari wa mbele kuchapa hawa watu wa NASA, na nilifanya nikajaribu nikapata hapo 50+ lakini huyu (Raila) alikataa…tukaenda kortini akanilazimisha kurudia, nikarudia akatoroka #BBISignatureLaunch