President Ruto alikabiliwa na maandamano ya gen-z

  • | Citizen TV
    1,853 views

    Rais William Ruto anapokamilisha miaka miwili ya uongozi wake hii leo, miongoni mwa changamoto kuu zilizoshuhudiwa na serikali ni maandamano ya vijana wa kizazi cha Gen z. Maandamano yaliyosababisha rais kusalimu amri na kufutilia mbali mswada wa fedha 2024 pamoja na kuvunja baraza lake la mawazir