Prof. Magoha amewahimiza wadau wote katika vita dhidi ya janga la ugonjwa wa covid-19

  • | KBC Video
    Waziri wa elimu Prof. George Magoha ameonya kuwa nchi hii inaelekea katika safari isiyoeleweka wakati shule zitakapofunguliwa kwa muhula mpya tarehe 26 Julai, huku wimbi la 4 la ugonjwa wa Covid-19 likinukia. Prof. Magoha amewahimiza wadau wote katika vita dhidi ya janga hilo kufanya kila wawezalo katika kuhakikisha usalama wa shule ili kuepusha mgogoro wa ki-afya. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNews #Kenya