Prof Naituli: Kuulizana ni kitu gani kinakuja kwangu na kwetu ni ujinga ambao umetueka shimoni.

  • | K24 Video
    105 views

    Prof Gitile Naituli: Kuulizana ni kitu gani kinakuja kwangu na kwetu ni ujinga ambao umetueka shimoni, kwenu na kwako ni dunia gani? Tuna nchi moja, serikali ni ya nchi yote. Huo ni upuzi ambao tunafaa kuacha. #K24Siasa