Prof. Olive Mugenda asema mfumo mpya wa ufadhili wa masomo ya vyuo vikuu iko sawa

  • | Citizen TV
    610 views

    mwenyekiti wa bodi ya hospitali ya rufaa na utafiti ya kenyatta Profesa Olive Mugenda amewarai wakenya kuupa muda mpango wa ufadhili wa masomo ya vyuo vikuu akisema serikali ina nia njema kw awanafunzi vyuoni nnanuia kuhakikisha wanafunzi wote wanapata masomo licha ya hali yao ya kiuchumi. mfumo huo mpya umekosolewa vikali huku wanafunzi wakitaabika kutokana na kutopata pesa hizo ambazo walikuwa wakitegemea.