Program Tumishi ya michezo (Games) inayohamasisha utalii

  • | BBC Swahili
    355 views
    Elias Patrick ni mvumbuzi anayechipikia wa Kitanzania anayetumia teknolojia kuonyesha vivutio vya utalii vya Tanzania. Yeye ni miongoni mwa Watanzania wa kwanza kubuni michezo ya kwenye simu ambayo inatumika kuelimisha watu kuhusu utalii wa Tanzania na kutangaza Urithi wa Taifa/Historia/Utalii ndani na nje ya Tanzania. Mwandishi wa BBC Frank Mavura amezungumza naye na kuandaa taarifa hii. #bbcswahili #tanzania #utalii