Skip to main content
Skip to main content

PS Gitonga atetea msimamo wa serikali wa kutekeleza miradi mikubwa ya miundombinu ndani ya misitu

  • | NTV Video
    55 views
    Duration: 1:59
    Katibu Mkuu wa Idara ya Misitu, Gitonga Mugambi, ametetea msimamo wa serikali wa kutekeleza miradi mikubwa ya miundombinu ndani ya misitu na maeneo yaliyohifadhiwa, akisisitiza kuwa Kenya haiwezi kusitisha ajenda yake ya maendeleo kwa jina la uhifadhi wa mazingira. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya