Skip to main content
Skip to main content

Pwani: Wanaharakati walalamikia muda mrefu amabao ujenzi wa barabara ya Mombasa-Malindi umechukua

  • | NTV Video
    982 views
    Duration: 1:33
    Wanaharakati kutoka eneo la Pwani wamelalamikia muda mrefu ambao ujenzi wa barabara ya Mombasa-Malindi haswa kati ya eneo la Kengeleni hadi Mtwapa umechukua, wakisema unawapa hasara wakazi na kuhatarisha maisha. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya