Pyongyang; Kwa nini Korea Kaskazini inaendelea na jaribio la makombora?

  • | BBC Swahili
    Licha ya kulaaniwa kimataifa, Korea Kaskazini inaendelea kujaribu makombora, ambayo mengine yanakiuka maazimio ya Baraza la Usalama la UN na yamesababisha vikwazo vikali. Kwa nini Pyongyang inaendelea na uzinduzi huu, ikiwa inakuja kwa gharama kubwa sana kwa uchumi wake? #bbcswahili #koreakaskazini #uchumi