Qatar yafanikisha upatanishi kati ya Israel na Hamas

  • | VOA Swahili
    300 views
    Nchi ya Qatar yatangaza mafanikio ya upatanishi wa pamoja zilizofanywa na Misri na Marekani kati ya Israel na Wanamgambo wa Hamas na kupelekea makubaliano ya kusitishwa mapigano ndani ya saa 24 zijazo na Makubaliano ya kuachiliwa huru kwa mateka 50.