Queen Elizabeth II: Harusi ya kifahari Uingereza iliyofanyika mnamo mwaka 1947

  • | BBC Swahili
    769 views
    Malkia Elizabeth aliolewa na binamu yake wa tatu, Duke wa Edinburgh. Waziri Mkuu wa wakati wa vita Winston Churchill, alisema ni harusi iliyoleta shamrashamra baada ya Uingereza kutoka katika vita. #bbcswahili #queenelizabethII #Uingereza