Radio Citizen yaendesha matangazo ya kandanda moja kwa moja kutoka mkahawa wa Tally's Tavern, Tala

  • | Citizen TV
    44 views

    Kampuni ya Royal Media Services, kupitia Radio Citizen, iliendesha matangazo ya kandanda moja kwa moja kutoka mkahawa wa Tally's Tavern mjini Tala, Kaunti ya Machakos.