Raga: Simbas wailaza Senegali 26-17 kwenye kombe la Afrika

  • | NTV Video
    135 views

    Timu ya raga ya taifa ya wachezaji kumi na watano kila upande ya wanaumme imelipiza kichapo walichokipata dhidi ya Senegali mwaka jana kwa kuwalaza alama 36 kwa 17 katika mechi yao ya robo fainali ya kombe la Arika nchini Uganda ugani Namboole.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya