rai

  • | Citizen TV
    Kinara wa ODM Raila Odinga endesha kampeni zake Nairobi Raila ameongoza msafara ya kuhamasisha usajili wa wapiga kura Raila na gavana wa Nairobi Anne Kananu waongoza shughuli hiyo Raila akosoa mpango wa naibu rais Ruto kuhusu nafasi za ajira Raila aahidi kuboresha maisha ya wakaazi wa jijila la Nairobi Raila aahidi kuboresha afya na kuongeza nafasi za ajira kwa vijana