Raia mmoja wa Liberia anayehusika na sakata ya dhahabu ghushi ameachiliwa kwa dhamana.

  • | KBC Video
    12 views

    Raia mmoja wa Liberia ambaye ni miongoni mwa washukiwa 12 wanaochunguzwa kuhusiana na sakata ya dhahabu ghushi ya thamani ya shilingi bilioni 1 hatimaye ameachiliwa kwa dhamana. Mshukiwa huyo Ronald Johnson aliachiliwa na hakimu mkuu mwandamizi wa mahakama ya Milimani Gilbert Shikwe kwa bondi ya shilingi laki mbili na wadhamini wawili raia wa Kenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive