Skip to main content
Skip to main content

Raia wa Congo walio ughaibuni wahofia vita vinaweza kuendelea

  • | KBC Video
    163 views
    Duration: 3:40
    Shirika la raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanaoishi nchini Kenya limeibua wasiwasi kuhusu uwezekano wa DRC kupata amani baada ya waasi wa M23 kuteka mji wa Uvira. Shirikisho la raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo walioko nje ya nchi hiyo sasa linasema kutwaliwa kwa Uvira na miji mingine kumesababisha wimbi jipya la wakimbizi kuingia Burundi na Tanzania, na hivyo kuongeza mzozo wa kibinadamu ambao tayari ni mkubwa katika taifa hilo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive