Raia wa Indonesia kuingia nchini bila visa

  • | Citizen TV
    1,967 views

    Rais walio na stakabadhi za usafiri wa kuingia nchini kutoka Indonesia hawatahitaji visa ya usafiri. Haya yametangazwa na Rais William Ruto alipokutana na rais wa taifa hilo joko widodo aliyezuru nchini. Viongozi hawa kwenye mkutano katika ikulu ya Nairobi pia wametia saini mikataba kadhaa ya kibiashara.