- 129 viewsDuration: 2:54Mahakama jijini Nairobi imeamuru kuwa raia wa Marekani anayehusishwa na tuhuma za mauaji katika jimbo la Minnesota azuiliwe korokoroni huku utaratibu wa kumrejesha nchini Marekani ukiendelea. Mshukiwa huyo anadaiwa kusababisha kifo cha mwanamke mmoja mwaka 2022 kupitia tukio linalohusishwa na matumizi ya dawa za kulevya. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive