- 1,300 viewsDuration: 1:13Raia wawili wa somalia walionaswa kwenye kamera wakiikosea heshima bendera ya kenya katika uga wa nyayo walifikishwa mahakamani kwa makosa ya kuwa nchini kinyume na sheria, kuharibu nembo ya umoja wa taifa na kuvuruga amani.