Raila adai tatizo la uchumi limepuuzwa na serikali

  • | KBC Video
    65 views

    Kiongozi wa upinzani Raila Amolo Odinga anadai kuwa serikali haifanyi lolote kushughulikia changamoto za kiuchumi zinazowakabili Wakenya. Akiongea katika kaunti ya Busia wakati wa shughuli ya kusajili wanachama wapya wa chama cha ODM, Raila alisema mrengo wa Azimio una mpango madhubuti wa kutatua tatizo la gharama ya juu ya maisha pamoja na changamoto nyingine zinazowakumba Wakenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive