Raila ahimiza serikali kushughulikia matakwa ya madaktari wanaogoma

  • | KBC Video
    158 views

    Kinara wa upinzani, Raila Odinga anahimiza serikali kushughulikia matakwa ya madaktari wanaogoma ili kukomesha masaibu ya wagonjwa ambao wametelekezwa. Raila ambaye ameonya kuwa hali huenda ikawa mbaya zaidi anasema mazungumzo baina ya serikali na matabibu wanaogoma yanapasa kuendelea ili kuafikia maridhiano. Wakati huo huo, Raila amewahimiza madaktari kuratibu mpango maksusi wa kurudi kazini huku mazungumzo yakiendelea.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News