Raila ailaumu serikali kufuatia mlipuko wa gesi Embakasi

  • | K24 Video
    64 views

    Kinara wa muungano wa Azimio la umoja Raila Odinga ameelekeza lawama kwa serikali kuhusiana na mkasa wa mlipuko wa gesi mtaa wa mradi huko embakasi, kinara huyo wa upinzani anasema mlipuko wa gesi hapa jijini Nairobi ungeweza kuzuiwa ikiwa serikali ya kaunti na kitaifa ingeshikilia mkakati wa kisheria kuhusu ujenzi wa viwanda na usalama wa wananchi