Raila aingia serikalini kwa mlango wa nyuma

  • | NTV Video
    38,768 views

    Kinara wa Azimio Raila Odinga amekashifiwa kwa kuiteka ajenda ya vijana wa Gen Z kutaka mabadiliko katika serikali na badala yake kuwafaidi wakuruba wake wa kisiasa haswaa kutoka chama cha ODM.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya