Raila akanusha madai ya kuwa mradi wa serikali

  • | KBC Video
    Kinara wa ODM Raila Odinga amepuzilia mbali madai eti yeye ni mradi wa serikali katika uchaguzi ujao wa urais.Akiongea wakati wa mazishi ya Mama Jacinta Wanjiku Karugu, mamake naibu gavana wa Nyeri Caroline Karugu, waziri huyo mkuu wa zamani alisisitiza kwamba ana uwezo wa kujitafutia kura mwenyewe.Raila pia alitumia hafla hiyo kukashifu uhusiano duni ulioko baina ya gavana wa Nyeri Mutahi Kahiga na naibu wake Caroline Karugu,ambao umesababisha kusimamishwa kwa mshahara wa naibu huyo wa gavana tangu mwezi novemba mwaka 2019. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #PresidentialRace #Raila