Raila amtaka rais Ruto kukoma kushambulia familia ya aliyekuwa rais Uhuru Kenyatta

  • | K24 Video
    317 views

    Kinara wa muungano wa Azimio Raila Odinga anamtaka rais Ruto kukoma kumshambulia familia ya aliyekuwa rais Uhuru Kenyatta kuhusu swala la kulipa ushuru. Odinga aliyezungumza eneo la Kibra kwenye mkutano wa kupinga serikali ya Ruto anashikilia kuwa ni jukumu mamlaka ya kra kudai ushuru ila sio ya rais Ruto. Odinga ameshikilia azma yake ya kutaka serikali ya Ruto kung’atuka mamlakini na kupinga hatua za Ruto kubuni tume mpya IEBC bila ushirikiano.