Raila asema azma yake kuwa mwenyekiti wa tume ya Jumuia ya Afrika haiyumbiki

  • | KBC Video
    46 views

    Kinara wa upinzani Raila Odinga amesema kampeni yake ya kuwania wadhifa wa mwenyekiti wa tume ya muungano wa bara Afrika -AU imeanza baada yake kuidhinishwa na baadhi ya viongozi katika mataifa ya jumuiya ya Afrika mashariki wakiongozwa na Rais William Ruto. Kwa mujibu wa kiongozi huyo wa muungano wa Azimio la umoja one Kenya, Marais Samia Suluhu wa Tanzania, Yoweri Museveni wa Uganda, Salva Kiir wa Sudan Kusini na Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini, wamemuidhinisha kwa wadhifa huo huku akianza juhudi za kutafuta uungwaji mkono barani kote.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive