Raila asisitiza kuwa serikali ya Rais William Ruto si halali

  • | KBC Video
    40 views

    Kinara wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga anasisitiza kuwa serikali ya Rais William Ruto si halali. Kwenye mkutano wa kisiasa katika uwanja wa Kamukunji katika eneo bunge la Kibra leo, Raila alikosoa serikali ya Kenya Kwanza kwa kukosa kushughulikia changamoto za kiuchumi zinazowakabili Wakenya ikiwa ni pamoja na kutozwa ushuru wa juu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #darubiniwikendi #KenyaElection2022 #railaodinga