RAILA ATAKA CDF IVUNJWE, FEDHA ZIPEWE KAUNTI

  • | K24 Video
    69 views

    Aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga ametaka Hazina ya CDF ivunjwe na fedha zake, ambazo ni asilimia 2.5 ya ushuru wa serikali, zikabidhiwe serikali za kaunti ili kuimarisha ugatuzi. Amesema kura ya maoni ndiyo njia bora ya kuamua hatima ya hazina hiyo, akipuuza shughuli ya ukusanyaji maoni inayoendelea.