Raila atetea uteuzi wa viongozi ODM serikalini

  • | K24 Video
    88 views

    Kinara wa muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga amewahakikishia wakenya kuwa baraza jipya la mawaziri linalojumuisha wanachama wa ODM litaimarisha utendakazi. Odinga aliwakashifu mawaziri walioondolewa, akidai kuwa walioteuliwa upya ndio walio na utaalamu wa kutimiza ahadi za serikali. Kiongozi huyo aliyasema hayo alipozuru soko la Toi kutoa rambirambi zake kwa waathiriwa wa mkasa wa moto uliotokea siku ya jumamosi.