Raila ayataka mataifa yaliyostawi kufadhili nchi za Afrika

  • | Citizen TV
    1,129 views

    Kinara wa ODM Raila odinga ametaka mataifa yaliyostawi kuwajibika na kuhakikisha kuwa mataifa ya bara afrika yanafadhiliwa vilivyo ili kukabili athari za mabadiliko ya tabianchi.kwenye mkutano uliowaleta pamoja mawaziri na wadau wa sekta ya mazingira, viongozi wameyataka mataifa ya bara afrika kushirikiana ili kuwa na msimamo wa pamoja utakaosaidia kushinikiza ufadhili wa kutosha.