Raila, Kalonzo na viongozi wa Jubilee wakutana kuhusu kutatuta mgogoro

  • | K24 Video
    13 views

    Kinara wa Azimio Raila Odinga, Wiper Kalonzo Musyoka na viongozi wa Jubilee leo wameongoza mkutano ya kuwaleta pamoja viongozi muungano huo baada ya sintofahamu kuzuka kuhusu ugavi wa nyadhfa bungeni. Muungano sasa umepanga warsha ya kuwaleta pamoja viongozi hao