Raila Odinga aeleza kwa nini anashinikiza serikali ya Kenya ichukue hatua

  • | VOA Swahili
    93,678 views
    Raila Odinga: "Sisi hatuvunji sheria, sisi kama wana Azimio tumesema tutafuata maadili, kanuni za sheria na katiba yetu, ili haki yetu itimizwe, na haki yetu inaonyesha ya kwamba sisi ndiyo tulishinda uchaguzi". Ungana na mwandishi wetu Hubbah Abdi Nairobi, Kenya akikuletea mahojiano yanayo onyesha sababu zinazopelekea upinzani kuishinikiza serikali ya William Ruto ichukue hatua. #railaodinga #kenya #uchaguzi #williamruto #katiba #wiziwakura - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.