Raila Odinga aitaka serikali kuu kupunguza mzigo wa kodi

  • | NTV Video
    3,716 views

    Kinara wa ODM, Raila Odinga, ameitaka serikali kuu kupunguza mzigo wa kodi na kufunga miundombinu ya kupotea kwa mapato ya taifa, kabla ya kuwaongeza raia mzigo zaidi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya