Raila Odinga apeleka kampeni za Azimio Kakamega kwa mara ya mwisho

  • | West TV
    46 views
    Kinara wa ODM na Mgombea wa urais katika muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga amepeleka kampeni zake za mwisho katika kaunti ya Kakamega akiwarai wakazi kumpigia kura ili kutwaa uongozi wa urais wa nchi